Kajala ambaye mara nyingi anaonekana akiweka picha mbalimbali za mwanaye huyo aitwaye Paula akiwa kwenye mapozi tofauti alizidi kusisitiza kuwa mtoto huyo ni wake na ambaye hapendi anachofanya basi atafute wake.
Kauli yake hiyo ilipokewa kwa hisia tofauti na mashabiki wake ambao baadhi yao walisema yafuatayo kumsapoti….
“…tena wakukome ma sis wanajua uchungu wako ulioubeba au au wanajua umemkuzaje mpaka kufika ... nyamafu hao wakosa akili wana low life yamaisha they av got nothing better to do Wa africa uwa tunamatatizo dunia nzima mtoto wa mwenzio anakuhusu nini wewe umuongelee kweli Education kitu kizuri ukisoma unafikiria utaongelea kiumbe we kazi. Acheni ujinga na utumwa business za wenzenu zinakuwa zenu.. thats ma bby paullet right there and am proud she is a grown gal hun.. kay ma mdogo never give a Fuck life is unbilivable!!!! Family first...”
Na wengine walizidi kukazia kuwa abadilike kwani hiyo sio sawa kwa kusema…
“Umeambiwa kistaarabu tu hako nguo sikazuri kwa umri wake ukizingatia unamtoto mrembo hebu uwe unamvalisha vizuri sio nguo zakumfanya wanaume waanze kumtaman…
Post a Comment