Tunajua kwamba mmoja kati ya Wageni waliochukua headlines kwenye tamasha la muziki la Fiesta linalofanyika Jumamosi hii ya October 18 2014 Leaders Dar es salaam ni rapper T.I kutokea Marekani ambae hii ndio itakua mara yake ya kwanza kukanyaga Afrika.
Tayari sehemu ya timu yake imeshatua Tanzania akiwemo meneja wake pamoja na mizigo kadhaa ndani yake ikiwa na nguo kutoka kwenye clothing line ya T.I ambapo nguo hizi zitauzwa kwa Watu mbalimbali pale Dar Free Market Osterbay kuanzia saa nne asubuhi ya October 18.
Post a Comment