Ajali mbaya!! Watu 9 wapoteza maisha katika ajali ya gari Shinyanga

Toyota haice yenye namba za usajili T761 CKD iliyokuwa ikitoka wilayani Kahama kuelekea mjini Shinyanga ikiwa imepinduka katika eneo la Buhangija Manispaa ya Shinyanga na kuua watu tisa na kujeruhi wengine tisa,baada ya kupinduka mara tatu, baada ya kuvuka tuta kisha kugonga daraja na kuangukia mtaroni,chanzo chake ni mwendo kasi ambapo dereva wa gari hilo Anwar Awadhi mkazi wa Lubaga Shinyanga aliruka na kukimbia.

 Wananchi wakishuhudia ajali hiyo.

Gari likitolewa kwenye mtaro ni baada ya kuuwa watu tisa ambapo watano walikufa papo hapo.
Wananchi wakiwa eneo la tukio.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top