Breaking Newss!!! Watu 11 wafariki dunia katika ajali ya basi dogo la abiria Mkanyageni Tanga

Habari zilizotufikia hivi punde
Watu 11 wafariki dunia katika ajali ya gari na wengine kujeruhiwa vibaa baada ya basi dogo la abiria kugongana na lori eneo la Mkanyageni Tanga.

Kwa taarifa zaidi ya tukio hili endelea kuwanasi hapahapa au 
bofya ku-like page yetu ilikuhabarika kwa wakati

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top