Wanawake mpoo hapa, Njooni tuwatete huku hawa viumbe



Wanawake ni jeshi kubwa.

Hii mada itakuwa msaada mkubwa sana kwa wale wanaojiandaa kuingia katika ndoa, itasaidia kuwaanda kisaikolojia kupambana na maudhi ya mume maana kwa kweli ni mengi sana na usipoangalia yanaweza angamiza ndoa yako.


Karibuni na tufunguke kuhusu maudhi yao yote iliwajue nasi huwa tunaumia sana ila tu tunavumilia




Mimi naanza.
Kutoa maagizo kama anaongea na mtoto mdogo.


Kurudi usiku huku yamelewa.


Hakutomasi tomasi kama mwanzo.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top