Kama
mnaachana c muachane kwa amani kama mlivyokuwa mnaanza maana uwezi kuwa
mnazalilisha katika mitandao kwa kisa tu umepigwa kibuti, Vizuri
mkaacha kwa amani maana huwezi jua labda mtarudiana baadae au mmeachana
kwa malengo yenu mazuri kwa baadae.
Vizuri kuheshimiana na kumlinda aliyekuwa mpenzi wako!!!
Post a Comment