Kama mnaachana c muachane kwa amani kama mlivyokuwa mnaanza maana uwezi kuwa mnazalilisha katika mitandao kwa kisa tu umepigwa kibuti, Vizuri mkaacha kwa amani maana huwezi jua labda mtarudiana baadae au mmeachana kwa malengo yenu mazuri kwa baadae.
Vizuri kuheshimiana na kumlinda aliyekuwa mpenzi wako!!!
Post a Comment