Katika hali ya kusikitisha msichana mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa kwa maadili...Amejikuta kwenye tukio la kihistoria baada ya kunya pombe kupita kiasi katika sherehe ya kuzaliwa ya rafiki yake na kukjikuta akipoteza fahamu na wasichana wenzake kumpiga picha na kusisambaza katika mitandao ya kijamii.
Hayo ndo mambo ya kula raha kupita kiasi na kujikuta furaha ikiishia kuwa aibu kubwa kwake...
Post a Comment