Breaking News: Magahidi walioua Polisi na raia kituo cha Polisi Stakishari wakamatwa



Polisi Jijini Dar es Salaam wamesema wamewakamata watu watano waliohusika na tukio la ujambazi katika Kituo cha Stakishari, pia silaha kadhaa zimekamatwa.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova, ameapa kwamba Jeshi hilo litawakamata wale waote waliohusika na tukio hilo, pia amesema kama wapo watu waliohusika na tukio hilo wajisalimishe.

Silaha zilizopatikana ni SMG 7, Sar, 7, Risasi 28 za SMG zote za Kituo cha Polisi Stakishari, Pia wamekamata sanduku lenye fedha za Kitanzania milioni 170.


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top