Victoria Kimani achafua hali ya hewa mtandaoni leo



Star wa muziki Victoria Kimani wa nchini Kenya, amekuwa kivutio cha mjadala mkubwa katika mtandao wa twitter, hasa baada ya mashabiki wengi kuweka wazi hisia zao dhidi ya mwanadada huyo.
Baadhi yao wameelezea kuwa, msanii huyo amekuwa si mzalendo na mwenye uwezo mdogo, akibebwa na support ya usimamizi mzuri wa muziki wake.

Majadiliano hayo yamezuka baada ya mwanadada huyo kutoa lawama zake kuwa wakenya wamekuwa na uzalendo mdogo katika kuwasupport wasanii wao kuweza kufanya vizuri nje ya nchi, binafsi akionekana kuwa mbali na nchi yake, akiwa anasimamiwa na lebo kutoka Nigeria

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top