Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kwamba madiwani wote wa jimbo la Monduli waliokuwa wa CCM wamerudisha kadi na kujiunga na chama cha democrasia na maendeleo CHADEMA..
Si hivyo tetesi zinasema atawenyekiti na wanachama wa CCm wamerudisha kadi zao na hii inatokea tu baada ya chama hicho kumkata waziri mkuu wa zamani Lowassa na hivyo wananchi wa Monduli wameamua kuhamia chadema baada ya tetesi kuwa Lowasa atajiunga na chama hicho hivi punde ili kupambana na Dr. Magufuli katika kuwania Urais.
Post a Comment