Simanzi...Mkuu wa wilaya ya Kalambo afariki dunia........

Mkuu wa Wilaya ya Kalambo Mhe. Moshi Mussa Chang'a amefariki dunia jana jioni katika Hospitali ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu ya ugojwa wa shinikizo la damu na Kisukari.

Taratibu za mazishi zitatangazwa mapema mara baada ya kikao cha wanandugu. Tunatoa pole kwa wale wote walioguswa na msiba huu. Sisi tulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi.
Bwana ametoa na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe. 
(Taarifa na Hamza Temba - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Rukwa)

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top