Watu 42 wapoteza maisha katika ajali ya basi........

Watu 42 wamepoteza maisha wakati 17 wakijeruhiwa baada ya basi la abiria lililokuwa likielekea Karachi nchini Pakistan kugongana na trekta lililokuwa na tela.
Miongoni mwa waliopoteza maisha ni watoto 14 na wanawake 13. Ajali hiyo imetokea leo katika mji wa Sukkur, umbali wa kilomita 425 kutoka Karachi.
Dereva wa basi amefariki papo hapo wakati wa trekta akijeruhiwa. Waliopoteza maisha wote walikuwa katika basi.
Tela la trekta likiondolewa eneo la ajali.
Ramani ikionyesha eneo ilipotekea ajali.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top