Watu wanne wapoteza maisha katika ajali ya Fuso Temeke-Dar Es Salaam....

Watu wanne wamepoteza maisha wakati watatu wakijeruhiwa baada ya kugongwa na fuso lililokatika breki eneo la mto Mkokozi, Temeke jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo, fuso hilo lilikuwa limebeba mzigo wa kokoto likitokea Mjimwema, lilipofika daraja la mto Mkokozi, lilikatika breki kisha likaparamia bajaj mbili na kusababisha maafa hayo.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top