Mshindi wa Milioni 50 za TMT apatika..Mwanaafa Mwinzago ndiye mbabae

Mwanaafa ndiye mbabe wa TMT na ndiyo alikuwa mdogo kuliko wato katika kinyang'anyilo hicho za Mil 50.
Mshiriki kutoka Kanda ya Kusini, Mwanaafa Mwinzago amefanikiwa kuibuka kidedea na kutwaa shilingi milioni 50 za shindano la Tanzania Movie Talents (TMT).
Mwanaafa ambaye ndiye mshiriki aliyekuwa na umri mdogo kuliko wote ameshinda kitita hicho katika fainali iliyofanyika usiku huu katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top