Picha katika matukio mbalimbali ya bunge la katiba Mjini Dodoma leo

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pindca na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai wakiteta bungeni mjini Dodoma, Septemba 2, 2014.
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Profesa Costa Mahalu wakiteta, bungeni mjini Dodoma Septemba 2, 2014.
Mbunge wa Mpanda Mjini, Said Arfi akiwasilisha taarifa ya kamati ya Bunge la Katiba, bungeni mjini Dodoma Septemba 2, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge wa Bunge Maalum la Katiba, kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 2, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top