Madaktari wamegundua uvimbe na meno yaliyoota katika ubongo wa mtoto

Katika aliambayo si yakawaida mtoto wa miezi minne aliyekuwa akisumbuliwa na kichwa huko Maryland, United states, toka mwishoni mwa mwaka jana na maelezo yake yalikuwa yakitolewa katika jarida la matibabu la nchi hiyo.
Imegungulika kuwa meno yaliota katika ubongo wake na hivyo kusababisha uvimbe ambao kitaalamu unaitwa craniopharyngioma adamantinomatous.

Aina hiyo ya kansa ambayo imeondolewa kwa njia ya upasuaji na kwa mujibu wa taarifa ni kwamba mtoto huyo anaendelea vizuri.


Dr Narlin Beaty amesema tatizo hili huwa alitokei mara kwa mara na katika makala ya New England Journel of Medicine waliandika jinsi vipimo vya wazi vilivyo fanyika katika kichwa chake mpaka ugunduzi wa tatizo hilo.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top