Dereva ajikuta akiingia mtaroni pale alivyokuwa anajaribu kupita pembeni ya barabara kutokana na traffic ya maeneo ya Buguruni Ilala Bungoni.
Magari ujaribu ukwepa traffic ujikuta ndiyo yanasababisha foleni zaidi au ajali kama hivi kutokana na ufinyu wa barabara.
Post a Comment