Msanii wa kizazi kipya, Diamond platnums, amewaomba mashabiki wake kumpokea Airport usiku wa saa nne kesho jumatano kwenye viwanja vya julius k nyerere, akitokea nchini marekani alipoenda kwenye ugawaji wa tuzo za afrimma ambapo msanii huyo alishinda kipengele cha msanii bora africa mashariki.
Weekend ya usiku wa kuamkia July 27 2014 ndio Diamond na Lady Jaydee wametangazwa kuwa washindi wa tuzo kwenye tuzo za AFRIMMA2014 zilizotolewa nchini Marekani zikiwa zimewashindanisha mastaa wakubwa wa Afrika kama vile Davido, Mafikizolo, 2Face na wengine.
Post a Comment