Habari ya kwamba hotel ya Naura Spring ya Arusha inawaka moto zilikuwa si za kweli ni watu wametengeza picha hizo ambazo zilikuwa zimeenea kwenye mitandao ya kijamii. Kamanda wa Polisi Arusha Liberatus Sabas ameongea jioni hii na vyombo vya habari na kukanusha habari za hotel hiyo ya kitalii jijini Arusha kwamba iliwaka moto hizo ni picha za kutengeneza hotel ipo salama kabisa kama unavyoona kwenye picha. Timu ya Vijimambo inaomba radhi kwa usumbufu wowote uliotokea.
Naura Spring Hotel inavyoonekana mda mfupi baada ya uzushi huo.
Endelea kuwa nasi kwa habari za uhakika zaidi, bila kusahau kuungana nasi katika ukurasa wetu wa facebook https://www.facebook.com/paparaziwetu
Post a Comment