Wanawake wanampenda Mwanaume mwenye Sifa zifuatazo

Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi  gani wanaweza kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae.Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapenda mweye vigezo vichache.
Vifuatavyo ni vigezo 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume.

1. Kujiamini

2. Mcheshi

3. Mwenye utashi

4. Anayetoa msaada unapohitajika

5. Anaetunza siri

6. Mwenye kujithamini

7. Mwenye malengo / makini  

8. Mwenye mawazo mapana
 
9. Muwazi na mkweli  

 10.Anayeridhika       
 
11. Aliyeshupavu na jasiri
 
12. Mwenye huruma

 13. Anaesamehe

 14. Hadhi na heshima 

15. Hisia ya uadilifu.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top