Wema Sepetu... Martin Kadinda:‘KUMMENEJI’ Wema ni shughuli nyingine......

Meneja wa Wema Isaac Sepetu, Martin Kadinda amekiri kuwa kumsimamia ‘kummeneji’ staa huyo ni shughuli pevu kwani ana tabia ya kubadilika.

Alisema Wema anahitahi hesabu kwani kuna vitu unaweza kupanga naye lakini akashindwa kutimiza kutokana na hisia zake binafsi.

“Kuna wakati unaweza kumwambia usitoke hadi nikuruhusu lakini cha ajabu unakuja kushtukia mwenzio yupo mtaani jambo ambalo hamkukubaliana, ni ngumu we’ acha tu,” alisema Martin Kadinda ambaye pia ni mbunifu wa mavazi.


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright RAHA TAMU Published.. Blogger
Back To Top