Picha zikionesha basi la kampuni ya Saibaba Express linalofanya safari zake kati ya dar - Songea likiwa limeacha barabara na kuparamia mti uliopo pembeni mwa barabara eneo la Kidegebasi iRINGA, barabara ya Iringa Mbeya.
Haikufahamika maramoja chanzo cha ajali hiyo, na kama kuna majeruhi ama la, lakini paparaziwetu ameshuhudia polisi pamoja na abiria wakiwa eneo la tukio kuona namna ya kufanya.
Basi hilo lilikuwa likitoka Songea kuelekea dar es Salaam, na imetokea majira ya saa nne asubuhi

Post a Comment